Oil ni kilainishi muhimu sana ndani ya gari lako, ambacho husaidia kwenye utunzaji mzuri wa injini na vyuma mbalimbali vilivyomo ndani ya gari . Mfano, Oil husaidia kulainisha sehemu za injini, kupunguza msuguano kwenye vyuma, inasafisha na kulinda injini isishike au kupatwa na kutu. Kuna aina mbalimbali za Oil ambazo kila moja imetengenezwa kulingana na […]

Read more of this post