MKENYA Karan Patel hatimaye amepata ushindi wake wa kwanza kwenye Mbio za Magari nchini Kenya (KNRC) baada ya kubeba taji la KCB Voi Rally katika kaunti ya Taita-Taveta mnamo Agosti 7.   Patel, ambaye alikuwa amefeli katika majaribio 40 ikiwemo kujiuzulu karibu 15 tangu shindano lake la kwanza mnamo Aprili 2014, alishinda mikondo minne kati […]

Read more of this post