Bi Winnie Achieng mwenye miaka 33, alikuwa na mtoto wake wa miaka 12 ambaye alinusurika kifo.Ajali hiyo ya asubuhi ilitokea baada ya Bi Achieng, aliyekuwa anaendesha gari hilo kwa kasi, kupoteza mwelekeo na kutumbukia majini. Bi Achieng alikuwa anaendesha gari hilo aina ya Toyota Vitz kutoka upande wa Changamwe kuelekea Mombasa kisiwani.Kulingana na ripoti ya […]

Read more of this post