Wakazi wa Juja Farm na maeneo ya karibu watatabasamu wakati barabara ya lami itakapojengwa kuwafaa jinsi ambavyo mikakati imewekwa. Katibu katika Wizara ya Uchukuzi Bw Paul Maringa akiwa eneo la Juja alisema Jumanne barabara ya umbali wa kilomita 75 kutoka Gatundu hadi Juja Farm tayari imezinduliwa ambapo wahandisi wa kampuni ya H-Young wako mashinani. Alisema […]

Read more of this post